Bomolaevents
TembeleaMonday, March 28, 2016
Wednesday, March 16, 2016
KIpimo cha imani
Let say uko kanisani unasali ghafla inaiingia sms umeshinda kama millioni 500 kampuni fulani ya mtandao wa simu na wamekwambia uende muda huo huo kuchukua je, utaacha kusali au utaendelea?na ukiacha hy sala unaimalizia vp?
Monday, March 14, 2016
Thursday, March 3, 2016
Friday, February 26, 2016
Thursday, February 25, 2016
PATA NENO
PATA NENO
"Ucjisifu una marafik wengi kama nywele zako wkt wa shida utajikuta KIPARA". Na huu ndo ukwl wnyw na waliopitia na wanaoendelea kupitia hali hii watakubaliana nami.
By Matanza.....
Mwanamume Afumaniwa Akila Uroda Na Ng'ombe, Limuru
Mwanamume Afumaniwa Akila Uroda Na Ng'ombe, Limuru
Ni kitendo cha kushangaza.Mwanamume kufanya ngono na ng'ombe.Hili ndilo jambo lililoshuhudiwa hii leo katika kijiji kimoja huko Kiambaa baada ya jamaa anayefanya kazi na kampuni ya maji ya Kikuyu, kufumaniwa akifanya kitendo hicho kisicho cha kawaida na ngombe katika mojawapo ya boma la eneo hilo.
(video)
Wednesday, February 24, 2016
MTU AJIITA MUNGU ATOKEA UKO DRC KONGO
MTU AJIITA MUNGU ATOKEA UKO DRC KONGO
Nitukio la kushangaza na kusisimua sana lililo tokea Uko JAMUULI YA DEMOKRASIA YA KONGO,
mji wa Gavilan katika kanisa la Tatu la malkia wa ubembe.
(Picture yake)
(NabiiaTATA WAHISEELELWA)
, Mtu moja Afahamikae kwa
jina la Nabiia WATATA WAHISEELELWA Ajiitae MUNGU 3 yani Mungu Mtu Roho Mtakatifu,
Mtu uyo(Nabiia WATATA WAHISEELELWA) amedai Amekuja kama Musa na Yesu walivyo kuja,
Nabiia WATATA WAHISEELELWA asema Yesu na Musa walikua wazungu ila yeye ni mweusi
Adai uwo ndio utatu mtakatifu
(Video)
Tuesday, February 23, 2016
Subscribe to:
Comments (Atom)












