toniking

toniking

Monday, March 28, 2016

pemba


Wednesday, March 16, 2016

KIpimo cha imani



KIPIMO

Let say uko kanisani unasali ghafla inaiingia sms umeshinda kama millioni 500 kampuni fulani ya mtandao wa simu na wamekwambia uende muda huo huo kuchukua je, utaacha kusali au utaendelea?na ukiacha hy sala unaimalizia vp?

Dancer matata

picture

video

Asubui nzuli


KUKU


Mwisho Airport


Dongo mchafu

Dogo apiga mswaki kwa nguvu


boxing day


Monday, March 14, 2016

Sio laisi ivyo

                                                             picture

                                                                          video

Mzungu wa bongo

picture


video

cheka


picture
video

MILIO YA AJABU

(PICTURE)


MILIO YA AJABU
(VIDEO)

                                                                         

Thursday, March 3, 2016

Bint kiuno (comedy)

video

Friday, February 26, 2016

Children dancer


Children dancer


(Video)

Thursday, February 25, 2016

Ng'ombe agoma kufa baada ya kuchinjwa

Ng'ombe agoma kufa baada ya kuchinjwa






PATA NENO

PATA NENO


 "Ucjisifu una marafik wengi kama nywele zako wkt wa shida utajikuta KIPARA". Na huu ndo ukwl wnyw na waliopitia na wanaoendelea kupitia hali hii watakubaliana nami.
By Matanza.....

Mwanamume Afumaniwa Akila Uroda Na Ng'ombe, Limuru

Mwanamume Afumaniwa Akila Uroda Na Ng'ombe, Limuru

                


Ni kitendo cha kushangaza.Mwanamume kufanya ngono na ng'ombe.Hili ndilo jambo lililoshuhudiwa hii leo katika kijiji kimoja huko Kiambaa baada ya jamaa anayefanya kazi na kampuni ya maji ya Kikuyu, kufumaniwa akifanya kitendo hicho kisicho cha kawaida na ngombe katika mojawapo ya boma la eneo hilo.

(video)

Wednesday, February 24, 2016

MTU AJIITA MUNGU ATOKEA UKO DRC KONGO

MTU AJIITA MUNGU ATOKEA UKO DRC KONGO 

Nitukio la kushangaza na kusisimua sana lililo tokea Uko JAMUULI YA DEMOKRASIA YA KONGO,
 mji wa Gavilan  katika kanisa la Tatu la malkia wa ubembe.
(Picture yake)
(NabiiaTATA WAHISEELELWA)

, Mtu moja Afahamikae kwa
jina la Nabiia WATATA WAHISEELELWA Ajiitae MUNGU 3 yani Mungu Mtu Roho Mtakatifu,
Mtu uyo(Nabiia WATATA WAHISEELELWA) amedai Amekuja kama Musa na Yesu walivyo kuja,
Nabiia WATATA WAHISEELELWA asema Yesu na Musa walikua wazungu ila yeye ni mweusi 
Adai uwo ndio utatu mtakatifu

(Video)

Cheka na pombe

                       

                       
  
                                       

Tuesday, February 23, 2016

ULIZA KWANZA


(video)

WAZO LA LEO:




 WAZO LA LEO: 




WAZO LA LEO:
Hata uwe na tamaa vipi huwezi kutamani kifo.......!!
WAZO LA KESHO; mwanaume hata awe na huruma vipi, hawezi kumsaidia mwanamke kubeba mimba.
WAZO LA KESHO KUTWA; Urefu na ufupi ni majaliwa ya muumba lakini vitambi na mimba ni juhudi zetu wenyewe! 

UKWELI WA MAISHA.
Bila pesa Mademu wazuri Utaishia Kuwaita Shemeji.......!

NI MTAZAMO TU,, 


Mapenzi yangekuwa IBADA vijana wote 2ngeenda MBINGUNI.



BINADAM NI JINO

 BINADAM NI JINO


Hivi Kila Binadam Ni JINO? Maana MTU akifa Wanasema Kaacha Pengo..
by francnho

DEREVA MPENDA NGONO

 DEREVA MPENDA NGONO



DEREVA mpenda Ngono alimpa lifti SISTER wa Kanisa. kila akibadili Gia Mkono wake unagusa Paja la Sister. Yule Sister akamwambia soma "Mathayo 7:7 DEREVA kusikia hivyo akamuacha kumgusa huku akijiuliza Mathayo 7 inasemaje?. Alipomfikisha Kanisani, Jamaa karud nyumban akachukua Biblia na kupekua Mathayo 7:7 na kukutana na Ujumbe usemao "OMBENI NANYI MTAPEWA" Jamaa daaah nimekosa JE dereva alikosa nin! tujifuze kuomba.
by francnho

CHEZEA UJANA....

 CHEZEA UJANA



Binti mmoja wa kitanzania alikuwa anasomea masomo ya kisayansi huko china muda wa miaka 20 alipofuzu na akaweza kugundua dawa ya kutozeeka akawatumia wazazi wake kichupa cha dawa wanywe tone moja moja wasizeeke,baada ya miaka 20 aliporudi tanzania alimkuta mama yake kawa binti huku kabeba kitoto cha kiume kidogo mgongoni akafurah kumkuta mama yake kawa binti akamuulza baba yuko wapi?
Mama akajibu mwanangu baba yako alivyoniona nimekunywa dawa nimekuwa binti yeye akanywa kichupa chote ndo huyu nimembeba mgongoni!

binti akazimia pale pale!
by francnho

DEREVA WA BODA BODA..


  DEREVA BODA BODA



Sikia hii = Dereva pikipiki alianguka pikipiki ikambana akawa anafurukuta cha ajabu watu wakawa wanampita bila hata kumsaidia kumbe nyuma ya pikipiki alikuwa ameandika "NIACHENI KAMA NILIVYO HII NDO STAILI YANGU" Tujifunze maneno ya kuandika.

by Brightoni 

Homa ya ajabu


 Homa ya ajabu




Sijui ni MALARIA yani naumwa kweli hata kula nashindwa asubuhi yenyewe nimekula chapati 9 tu maandazi 7 mihogo 7 vitumbua 10 Mikate6 magimbi 5 ndizi za kukaanga 4 sambusa 5 sahani za ubwabwa 3 mtori bakuli 2 pilau sahani 5 kulikuwa na kipolo cha makande nimejazia jazia ivo ivo kigonjwa gonjwa saivi natoka kwa Doctor kuchukua dawa ya kuleta hamu ya kula kwa kweli hali yangu ni mbaya wiki ijayo nakuja kuugulia kwako. USIKU MWEMAA.Forward from: Matanza the best

by toniking

Madenge na traffic


 Madenge na traffic

Madenge aliua watu 25 kwa ajali alipokuja traffic mambo yalikuwa hvi;

  • TRAFFIC: Ilikuwaje ukagonga watu wote hawa?
  • Madenge: nilikuwa spidi ghafla nikaona kundi la watu kushoto, na mtu mmoja kulia, na sina breki wewe trafic ungefanyaje?
  • TRAFFIC: ningemgonga yule mmoja kuokoa wengi.
  • Madenge: Ndivyo nilivyokusudia lakini yule mpumbavu alikimbilia kwa watu wengi akafikiri sijamuona,nikamfuata kulekule ndipo nikawagonga wote...
  • Trafk hoiììiìi

by toniking

Saturday, February 6, 2016

Nywele bandia

Je wajua baadhi ya nywele bandia na mawingi utoka wapi
VIDEO
Mdamwingine ndiomana waungwana usema nyele bandia ni hatari kwa afya za kinana dada,
Ukweli nyele bandia sio zuli kwa afya ya mwanadamu,
Nivema akinadada kufuga nyele zao halisi,na sio kuvaa mawingi au nywele bandia

Wednesday, February 3, 2016

Madenge na traffic

TEXT COMEDY

Madenge na traffic

Madenge aliua watu 25 kwa ajali alipokuja traffic mambo yalikuwa hvi;

  • TRAFFIC: Ilikuwaje ukagonga watu wote hawa?
  • Madenge: nilikuwa spidi ghafla nikaona kundi la watu kushoto, na mtu mmoja kulia, na sina breki wewe trafic ungefanyaje?
  • TRAFFIC: ningemgonga yule mmoja kuokoa wengi.
  • Madenge: Ndivyo nilivyokusudia lakini yule mpumbavu alikimbilia kwa watu wengi akafikiri sijamuona,nikamfuata kulekule ndipo nikawagonga wote...
  • Trafk hoiììiìi

by toniking

Friday, January 22, 2016

Miss apata aibu jukwaani


Miss apata aibu baada ya kuanguka jukwaani kwasababu ya viatu vilefu

Saturday, January 9, 2016

angalia ucheke,(watoto wa old school)


                    angalia ucheke,(watoto wa old school)

vipaji tunavyo(cheki kipaji)

vipaji tunavyo(cheki kipaji)

majabu ya mama mjauzito



majabu ya mama mjauzito


kichwa kinaongea

kichwa kinaongea







mtoto hatari


mtoto hatari wa kiharabu………..

kichwa kinaongea

kichwa kinaongea

Ng'ombe kichaa afanya fujo mtaani


ng'ombe kichaa afanya fujo mtaani


Maleemu apinga self


maleemu apinga self


mtoto aliye weza kuongelea

  




mtoto mdogo aliye weza kuongelea mpa kutoka …….

Nyani apigana na mbwa


ngumi za nyani na mbwa

Charles champli –chezea ngumi weye


Charles champli –chezea ngumi weye



ANAJIITA MUNGU



Anajiita Mungu mtu,


  • Watu humwabudu na kumsujudu,ila ameoa na anakula kama kawa,

Watoto wa digital


Watoto wa digital ni hatari

Cheko ya umbea.mp4

Cheko ya umbea.mp4

Cheko ya umbea

Cheko ya umbea



Cheko ya umbea


Popular Posts

 

Subscribe to our Newsletter

Contact our Support

Email us: Support@templateism.com

Our Team Memebers