toniking

toniking

Text comedy

Madenge na traffic

Madenge aliua watu 25 kwa ajali alipokuja traffic mambo yalikuwa hvi;

  • TRAFFIC: Ilikuwaje ukagonga watu wote hawa?
  • Madenge: nilikuwa spidi ghafla nikaona kundi la watu kushoto, na mtu mmoja kulia, na sina breki wewe trafic ungefanyaje?
  • TRAFFIC: ningemgonga yule mmoja kuokoa wengi.
  • Madenge: Ndivyo nilivyokusudia lakini yule mpumbavu alikimbilia kwa watu wengi akafikiri sijamuona,nikamfuata kulekule ndipo nikawagonga wote...
  • Trafk hoiììiìi

by toniking



 Homa ya ajabu

Sijui ni MALARIA yani naumwa kweli hata kula nashindwa asubuhi yenyewe nimekula chapati 9 tu maandazi 7 mihogo 7 vitumbua 10 Mikate6 magimbi 5 ndizi za kukaanga 4 sambusa 5 sahani za ubwabwa 3 mtori bakuli 2 pilau sahani 5 kulikuwa na kipolo cha makande nimejazia jazia ivo ivo kigonjwa gonjwa saivi natoka kwa Doctor kuchukua dawa ya kuleta hamu ya kula kwa kweli hali yangu ni mbaya wiki ijayo nakuja kuugulia kwako. USIKU MWEMAA.Forward from: Matanza the best



DEREVA BODA BODA
Sikia hii = Dereva pikipiki alianguka pikipiki ikambana akawa anafurukuta cha ajabu watu wakawa wanampita bila hata kumsaidia kumbe nyuma ya pikipiki alikuwa ameandika "NIACHENI KAMA NILIVYO HII NDO STAILI YANGU" Tujifunze maneno ya kuandika.
by Brightoni 


CHEZEA UJANA
Binti mmoja wa kitanzania alikuwa anasomea masomo ya kisayansi huko china muda wa miaka 20 alipofuzu na akaweza kugundua dawa ya kutozeeka akawatumia wazazi wake kichupa cha dawa wanywe tone moja moja wasizeeke,baada ya miaka 20 aliporudi tanzania alimkuta mama yake kawa binti huku kabeba kitoto cha kiume kidogo mgongoni akafurah kumkuta mama yake kawa binti akamuulza baba yuko wapi?
Mama akajibu mwanangu baba yako alivyoniona nimekunywa dawa nimekuwa binti yeye akanywa kichupa chote ndo huyu nimembeba mgongoni!
binti akazimia pale pale!
by francnho


DEREVA MPENDA NGONO

DEREVA mpenda Ngono alimpa lifti SISTER wa Kanisa. kila akibadili Gia Mkono wake unagusa Paja la Sister. Yule Sister akamwambia soma "Mathayo 7:7 DEREVA kusikia hivyo akamuacha kumgusa huku akijiuliza Mathayo 7 inasemaje?. Alipomfikisha Kanisani, Jamaa karud nyumban akachukua Biblia na kupekua Mathayo 7:7 na kukutana na Ujumbe usemao "OMBENI NANYI MTAPEWA" Jamaa daaah nimekosa JE dereva alikosa nin! tujifuze kuomba.
by francnho

BINADAM NI JINO

Hivi Kila Binadam Ni JINO? Maana MTU akifa Wanasema Kaacha Pengo..
by francnho

WAZO LA LEO:

WAZO LA LEO:
Hata uwe na tamaa vipi huwezi kutamani kifo.......!!
WAZO LA KESHO; mwanaume hata awe na huruma vipi, hawezi kumsaidia mwanamke kubeba mimba.
WAZO LA KESHO KUTWA; Urefu na ufupi ni majaliwa ya muumba lakini vitambi na mimba ni juhudi zetu wenyewe!

UKWELI WA MAISHA.
Bila pesa Mademu wazuri Utaishia Kuwaita Shemeji.......!

NI MTAZAMO TU,,



Mapenzi yangekuwa IBADA vijana wote 2ngeenda MBINGUNI.





0 comments:

Post a Comment

Popular Posts

 

Subscribe to our Newsletter

Contact our Support

Email us: Support@templateism.com

Our Team Memebers