toniking

toniking

Tuesday, February 23, 2016

Homa ya ajabu


 Homa ya ajabu




Sijui ni MALARIA yani naumwa kweli hata kula nashindwa asubuhi yenyewe nimekula chapati 9 tu maandazi 7 mihogo 7 vitumbua 10 Mikate6 magimbi 5 ndizi za kukaanga 4 sambusa 5 sahani za ubwabwa 3 mtori bakuli 2 pilau sahani 5 kulikuwa na kipolo cha makande nimejazia jazia ivo ivo kigonjwa gonjwa saivi natoka kwa Doctor kuchukua dawa ya kuleta hamu ya kula kwa kweli hali yangu ni mbaya wiki ijayo nakuja kuugulia kwako. USIKU MWEMAA.Forward from: Matanza the best

by toniking

0 comments:

Post a Comment

Popular Posts

 

Subscribe to our Newsletter

Contact our Support

Email us: Support@templateism.com

Our Team Memebers